Kutoka viwanja vya Gombani, Pemba: Sherehe za maadhimisho ya miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar


Viongozi mbalimbali wamehudhuria wakiongozwa na mgeni ambaye ni Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein.

Wengine ni Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suhulu Hassan, Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, Makamu wa Rais Zanzibar Seif, CDF Venance Mabeyo, Mzee Philip Mangula na wengine wengi


Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.