Spika Ndugai: Lissu alishambuliwa kwa risasi 28-32 lakini zilimpata tano, awaomba wabunge kuchangia nusu ya posho

pika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema Bungeni kuwa gari ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu lilishambuliwa kwa jumla ya risasi 28 hadi 32 lakini zilizompata na kumjeruhi Tundu Lissu ni tano tu.
-----

Ndugai amesema kwa hesabu alizofanya, kiwango cha mchango wa wabunge kitakua Tshs 43,000,000 kutoka kwenye posho yao ya siku ya leo.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.