Breaking News: Rais Magufuli afanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri...


kutoka ikulu, rais Magufuli ametangaza baraza la mawaziri na pia kuteua katibu mpya wa bunge. mahiga, mwakyembe, kabudi,nk waendelea kupeta na wizara zao. updates inakuja


Kwa ufupi:

Wizara zimeongezeka kutoka 19 hadi 21
Hussein Bashe: TAMISEMI
Katibu wa Bunge: Aondolewa na kuwekwa mpya
Medadi Kalemani: Wizara ya Madini (imegawanywa kwa sasa)
Angela Kairuki: Waziri wa Nishati na Madini

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.