Kaburi hili la miaka 4000 lililogunduliwa Misri



Journalists were allowed into the newly-discovered tomb, which experts have called "exceptionally well-preserved"

Wana akiolojia wamefanya ugunduzi usio wa kawaida - kaburi la kasisi mmoja ambayo halijapatikana kwa miaka 4,400.

Mostafa Waziri, katibu kwenye baraza linalohusika na maeneo ya kale alitaja ugunduzi huo kama wa aina yake kwa miaka mingi iliyopita.

Kaburi hilo ambalo liligunduliwa eneo linalojulikana kama Saqqara pyramid complex mjini Cairo lina sanamu za Firauni.

Kaburi la mwana wa Pharaoh lapatikana Misri

Tazama kilichogunduliwa kwenye kaburi la kale nchini Misri

Wana akiolojia wataanza kulichimba kaburi hilo leo na wanatarajia kufanya ugunduzi zaidi baadaye ukiwemo mwili wa aliyezikwa humo.

Haya ni yale tayari wamegundua....


Kaburi la aina yake la miaka 4,400 lagunduliwa Misri










Kaburi la aina yake la miaka 4,400 lagunduliwa Misri

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.